Loading... Mhe. January Makamba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya M/Rais, Muungano na Mazingira. Mhe. Makamba alizaliwa januari 28, 1974. Na leo ametimiza miaka 44. Kwa pamoja kama DundiikaNews Media tunamtakia Mheshimiwa heri ya furaha ya kuzaliwa na aishi miaka mingi zaidi.
Hakuna maoni: