Loading...

AFANYIWA UKATILI BAADA KUKATAA KUFANYA NGONO NA BABA YAKE MZAZI

Loading...
Msichana aliyejaribu kubakwa na baba yake mzazi
Pichani akionekana mtoto huyo na wasamaria
Baba mmoja alitajwa kwa jina la John Okeregu, alishtakiwa kwa kumfanyia vitendo vya ukatili binti yake baada ya kukataa kufanya ngono naye.

Iliripotiwa kuwa msichana huyo mdogo ambaye ametokea huko Okpe Isoko, Jimbo la Delta - Nigeria, na alishambuliwa shambulio la kimwili pale alipokataa kufanya mapenzi na baba yake.

Msamaria mmoja aliamua kumchukua msichana huyo mdogo kizuizini kama ripoti inavyoonyesha kuwa mfalme wa jamii hiyo alijaribu kuifunga kesi hiyo.

Na baadaye taarifa hiyo ilivyosambaa kila kona, Kamishna wa Maswala ya Wanawake na Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Delta waliishikilia kesi na kuifikisha katika vyombo vya sheria.

Mwenye wa serikali za mitaa pia ametuma mshauri anayewakilisha kata hiyo ili wakutane na mtoto huyo ili apate haki zake.

kwa hisani ya mtandao
AFANYIWA UKATILI BAADA KUKATAA KUFANYA NGONO NA BABA YAKE MZAZI AFANYIWA UKATILI BAADA KUKATAA KUFANYA NGONO NA BABA YAKE MZAZI Reviewed by By News Reporter on 1/28/2018 11:23:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.