Loading...

BAADA YA KUACHANA NA NICKI MINAJ, NAS AHAMIA KWA TASHA

Loading...
Kushoto Tasha Smith, Kulia Nas Escober
Rappa Nas Escober alionekana kufa kimapenzi na rappa Nicki Minaj kwa kudumu kimapenzi na mwanadada huyo kwa kipindi cha miezi sita mpaka mapenzi yao yalifika tamati Disemba 2017.

Usiku wa Jumatano, Nas (44), alionekana akimpereka msanii Tasha Smith (46), ili kupata chakula cha usiku huko mjini Hollywood, Marekani.
Wawili hao ambao walipigwa picha wakionekana katika hali ya furaha wakifurahia jioni hiyo katika mgahawa wa TAO kabla ya kuondoka katika macho ya hadhira.
Na hata kuonyesha sintofahamu kama wanatoka kimapenzi au kuna biashara wanataka kufanya.
Msanii Tasha akitoka katika mgahawa wa TAO akiwa ameshikilia mfuko, usiku wa jumatano
Tasha Smith ambaye alipata umaarufu alipoanza kazi yake katika tamthilia ya NBC Sitcom Boston Common, alijulikana 
kwa uhusika wake kama Tyler Perry Flicks, Why Did I Get Married, and Why Did I Get Married Too na baadae akaigiza katika Tamthilia ya Empire.

BAADA YA KUACHANA NA NICKI MINAJ, NAS AHAMIA KWA TASHA BAADA YA KUACHANA NA NICKI MINAJ, NAS AHAMIA KWA TASHA Reviewed by By News Reporter on 1/28/2018 10:35:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.