Loading... 1. Je wajua mwili wa binadamu wenye uzito wa kilo 70 unahifadhi 0.2 gramu za dhahabu. 2. Je wajua mfupa wa binadamu wa paja ni mgumu kuzidi zege. 3. Je wajua kinywa chako kwa siku kinazalisha lita moja ya mate.
Hakuna maoni: