Loading...

MAMBO MANNE MUHIMU KUKUSAIDIA KUFIKIA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri

Loading...

HAYA NDIO MAMBO MANNE KUKUSAIDIA KUFIKIA MALENGO YAKO:

1. Orodhesha vitu vyote au mikakati yote unayotakiwa kufanya ili kukamilisha malengo yako. Hakikisha umeandika katika maandishi.

2. Kila unapoamka asubuhi jitahidi kupitia kile ulichokiandika. Zoezi hili liwe endelevu.

3. Usikubali siku ikaisha bila kufanya kile ulichokiandika kama mikakati ya kukamilisha malengo yako. Usiruhusu sababu yoyote iwe kikwazo katika hili.

4. Siku inapoisha fanya tathmini ya mwenendo wa siku nzima kubaini kama umefanya chochote ambacho kinakusogeza katika kufikia malengo yako.

You Deserve The Best!
Na Vicent Stephen
MAMBO MANNE MUHIMU KUKUSAIDIA KUFIKIA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri MAMBO MANNE MUHIMU KUKUSAIDIA KUFIKIA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri Reviewed by By News Reporter on 1/27/2018 01:48:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.