Loading...
![]() |
Msanii na Producer Mr T Touchez akiwa na Ma video qeen waliocheza video ya mama la mama |
Msanii na producer Mr T Touchez ameachia video ya kibao cha walichoshirikiana na msanii kutoka Burundi ajulikanae kwa jina la Gaga Blue na msanii mwingine aliyeshirikishwa ni Baraka da Prince.
Baada ya kibao cha Utani utani alichoingiza sauti, Producer huyu mkali wa nyimbo zinazovuma bongo ndio amekuja na kibao hicho cha 'Mama la Mama'.
Tazama video hiyo hapo kwa chini;
MR. T TOUCHEZ ARUDI KIVINGINE
Reviewed by By News Reporter
on
1/27/2018 07:54:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: