Loading...
Watu wanne wamefariki katika ajali ya lori Ipuli mnadani maeneo ya kazima bwawani, Tabora. Mmoja kati ya hao wanne aliifariki njiani akielekea hospitalini.
Dereva amenusurika na baadae alikimbia kuokoa maisha yake, wengine majeruhi wamefikishwa katika hospitalini huko Kitete.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
BREAKING NEWS: WANNE WAFARIKI KWA AJALI YA LORI IPULI, TABORA
Reviewed by By News Reporter
on
4/09/2018 09:17:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: