Loading...

MIMBA YA SOSHOLAITI VERA SIDIKA KUMBE NI FEKI!

Loading...
Vera Sidika mrembo machachari wa nchini Kenya, amewaacha mashabiki midomo wazi baada ya kutangaza hadharani kupitia mtandao wake wa Instagram kuwa si mjamzito bali aliwaamua kuwadanganya tu. Tarehe 1 Aprili alitangaza kuwa ni mjamzito na hata kudai kuwa ameongezeka uzito na hata kama mtu yoyote angebisha alikuwa tayari kuonyesha ushaidi.
Na baadae alirusha kipande cha video katika chaneli yake ya Youtube akionyesha akitembea huku na kule akionekana akiwa na tumbo kubwa ndipo baadae aliamua kufungua tumbo lake na kutoa mashuko aliyokuwa ameyaweka tumboni.
Uthibitisho wa zaidi alionekana baada ya kupost picha ya mionzi ya ushaidi wa madai ya mimba hiyo na kuiandika 'Fake' kwa maani si halisi.
Na Neema Joshua.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MIMBA YA SOSHOLAITI VERA SIDIKA KUMBE NI FEKI! MIMBA YA SOSHOLAITI VERA SIDIKA KUMBE NI FEKI! Reviewed by By News Reporter on 4/09/2018 09:45:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.