Loading...

MREMBO 'CHIDINMA' AIBUKA MSHINDI MISS NIGERIA 2018

Loading...
MWANADADA na mrembo Chidinma Aaron ameibuka mshindi na kufikwa taji la Urembo wa Nigeria mwaka 2018 baada ya kuwashinda warembo wenzake zaidi ya 17.

Katika mashindano hayo yaliyofanyika usiku wa Jumapili Novemba 25, 2018 ulijumisha jumla ya washindani 18 huko mjini Lagos mji mkuu wa Nigeria. 

Hatimaye mrembo aliyekuwa anaiwakilisha kanda ya Kusini-Mashariki aliibuka mshindi usiku huo.
Na Haika Gabriel.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MREMBO 'CHIDINMA' AIBUKA MSHINDI MISS NIGERIA 2018 MREMBO 'CHIDINMA' AIBUKA MSHINDI MISS NIGERIA 2018 Reviewed by By News Reporter on 11/26/2018 08:57:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.