Loading...

NEDY MUSIC AOKOA JAHAZI, ASHINDA TUZO KUBWA AFRIKA (AFRIMMA)

Loading...
MWIMBAJI wa Bongo Fleva Nedy Music ambaye pia yupo chini ya record label ya PKP ameshinda tuzo ya 'African Fans Favourite' katika tuzo za AFRIMMA zilizofanyika Jumamosi November 24 2018 nchini Ghana.
Nedy Music ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwashukuru wale wote waliompigia kura ikiwa pamoja na wimbo uliomfanya apate tuzo hiyo “One and Only” aliomshirikisha Ruby.
Neddy Music aliandika: "Asante Mungu🙏Safari hii imekuwa kubwa na yenye matunda sana kwangu . Ninamshukuru Mungu, familia yangu, timu yangu na Mashabiki wangu wote ndani na nje kwa kunisapoti hasa kijana wenu katika kazi yangu ya muziki na Kuhakikisha nasukuma gurudumu la muziki mbele zaidi"
Na Catherine Kisese.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NEDY MUSIC AOKOA JAHAZI, ASHINDA TUZO KUBWA AFRIKA (AFRIMMA) NEDY MUSIC AOKOA JAHAZI, ASHINDA TUZO KUBWA AFRIKA (AFRIMMA) Reviewed by By News Reporter on 11/26/2018 07:11:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.