Loading...

TETESI ZA SOKA ULAYA: HAZARD, DE GEA, DEMBELE NA NEYMAR KUTIMKA VIKOSINI MWAO

Loading...
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 27 amekana kuwa atahamia Paris St-Germain, lakini amekiri kuwa ataondoka Stamford Bridge msimu huu. (Canal+ via Goal)

Mshambuliaji Mfaransa Ousmane Dembele, 21, ameomba kuondoka Barcelona mwezi Januari na kuondoka kwake kutamruhusu Neymar kurudi Nou Camp kutoka Paris St-Germain. (Goal)

Beki wa Barcelona Jordi Alba, 29, amekiri kuwa hajapewa mkataba mpya klabuni na kuacha hatma yake gizani. (ESPN)

Kipa wa Manchester United David de Gea atajiunga na Paris St-Germain msimu ujao wakati mkataba wa mchezaji huyo mwenye miaka 28 raia wa Uhispania utakamilika huko Old Trafford. (Mail on Sunday)
Na Yohana Timoth.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TETESI ZA SOKA ULAYA: HAZARD, DE GEA, DEMBELE NA NEYMAR KUTIMKA VIKOSINI MWAO TETESI ZA SOKA ULAYA: HAZARD, DE GEA, DEMBELE NA NEYMAR KUTIMKA VIKOSINI MWAO Reviewed by By News Reporter on 11/26/2018 08:05:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.