Loading...
Muigiza wa kike wa filamu za Bollywood na Hollywood Priyanka Chopra kutoka India, 36, na muimbaji Nick Jonas, 26 wa Marekani rasmi wamefunga ndoa kwa tamaduni ya Kihindu, baadaye ilifuatiwa na ndoa ya kikristu ambayo ilifungishwa na pasta na baba wa kiroho wa Nick, Paul Kevin Jonas Sr katika hekalu la kifahari la Umaid Bhawan.
Katika sherehe, Chopra alivalia gauni la mtindo wa Ralph Lauren, ambalo alichaguliwa na huyo mwenza wake.
Chopra ni muimbaji pia, katika uigizaji wake ameshafanya filamu maarufu kama Quantico, Baywatch, Bajirao, Mary Kom, Krrish ambayo alishirikiana na msanii (krishna).
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MUIGIZAJI MAARUFU WA KIKE WA INDIA AFUNGA NDOA NA KIBEN 10.
Reviewed by By News Reporter
on
12/03/2018 09:28:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: