Loading...

BEYONCE ALIVYODAMSHI KATIKA TAMASHA AFRIKA KUSINI

Loading...
Beyonce na muweme Jay Z usiku wa Jumapili tarehe 2, Disemba 2018, walikuwa walikuwa wakitumbuiza mashabiki zao katika tamasha lililojulikana kama Global Citizen 2018 huko Afrika ya Kusini.
Katika tamasha hilo, mbali na Mr and Mrs Jay Z kupiga shoo ya nguvu nguvu katika jukwaa hilo, wasanii mbali mbali kutoka Afrika Kusini na nchi nyingine za Afrika walikuwepo kuwaunga mkono nyota hao wa dunia.
Wasanii kama Dbanj (Nigeria), Cassper Nyovest (A.Kusini) nao walikuwepo kati ya wengi waliobahatika kutumbuiza pamoja na manguli wa muziki wa hiphop na pop.
Katika tamasha hilo, mama Carter alionekana akidamshi mavazi ya kipekee kutoka kwa wabunifu kama Balmain na Varsace.
Na Neema Joshua.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BEYONCE ALIVYODAMSHI KATIKA TAMASHA AFRIKA KUSINI BEYONCE ALIVYODAMSHI KATIKA TAMASHA AFRIKA KUSINI Reviewed by By News Reporter on 12/03/2018 09:58:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.