Loading...
Mchungaji, Daudi Mashimo amesema kuwa msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Bakary baada ya kumdhamini msanii huyo yeye na mpenzi wake wamekubali kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Mchungaji Mashimo akizungumza EATV, amesema kuwa Amber Rutty na mpenzi wake wameamua kabisa kufanya hivyo kutokana na yale waliyoyapitia lakini pia wamegundua kuwa maisha yao ya hapo awali hayakuwa ya mupnendeza mungu hata kidogo, alizungumzia swala hilo kwaajili ya maisha yajayo ya wasanii hao.
Novemba 2, 2018 walifikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya mapenzi kinyume na maumbile , kesi ambayo walikosa kabisa watu wa kuwadhamini na ndipo mchungaji huyo ambae alisema kuwa yeye ametumwa na Mungu atafanya kazi hiyo kama alivyoagizwa kiimani.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

AMBER RUTTY, MPENZI WAKE KUAMUA KUOKOKA
Reviewed by By News Reporter
on
12/03/2018 10:14:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: