Loading...

RAIS KIM WA KOREA KASKAZINI AOMBA KUZITAWALA NIGERIA NA GHANA

Loading...
Rais wa Korea Kaskazini amedai akipewa ruhusa ya kuzitawala nchi za Ghana na Nigeria kwa kipindi cha mwaka mmoja zitakuwa watakuwa nchi daraja la kwanza.

Rais Kim Jong Un siku ya Jumatano, 21, Novemba 2018 katika Jukwaa la Biashara Duniani alisema kwamba Nigeria na Ghana ni uti wa mgongo wa uchumi wa Afrika kwakuwa zina wingi wa mali asili.

"Nigeria na Ghana wawe koloni langu kwa mara ya pili, zitaonekana nchi tajiri na zenye maendeleo makubwa duniani, nimalize rushwa na niwafundishe namna ya kuendesha nchi zao ziwe juu," Kim alisisitiza.

Aliongezea atazibadilisha Nigeria na Ghana kuwa nchi daraja la kwanza ambazo zitawavutia wawekezaji duniani kote, kama watanipatia mwaka mmoja tu nizitawale.



Hii sio mara ya kwanza kwa viongozi wa nchi zenye ngumu kusema hayo, mgano rais Donald Trump aliyasema hayo mapema mwaka huu kuwa nchi za Afrika zinapaswa kutawaliwa tena.
RAIS KIM WA KOREA KASKAZINI AOMBA KUZITAWALA NIGERIA NA GHANA RAIS KIM WA KOREA KASKAZINI AOMBA KUZITAWALA NIGERIA NA GHANA Reviewed by By News Reporter on 12/02/2018 07:00:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.