Loading...

RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI GEORGE H.W BUSH AFARIKI DUNIA

Loading...
George Herbet Walker Bush ambaye alikuwa rais wa 41 wa Marekani na baba wa rais G.W Bush ameaga dunia

Bush alifariki Ijumaa Novemba 30 majira ya saa nne usiku kama ilivyotangazwa na msemaji wa familia yake, Jim McGrath

Marehemu amekuwa akiugua ugonjwa wa nimonia na maambukizi kwenye damu 

Kifo chake kinatokea miezi saba tu baada ya mkewe Barbara kuaga dunia mwezi Aprili mwaka wa 2018.
Na Catherine Kisese.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI GEORGE H.W BUSH AFARIKI DUNIA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI GEORGE H.W BUSH AFARIKI DUNIA Reviewed by GEOFREY MASHEL on 12/02/2018 06:37:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.