Loading...
Kenya. Wasafiri wanaotumia magari ya umma wamepata pigo baada ya mahakama kukata kufutilia mbali marufuku ya matatu kuingia katikati mwa jiji la Nairobi.
Hii inamaanisha kwamba wasafiri wataendelea kutembea mwendo mrefu kuingia katikati mwa jiji au kuelekea kwenye stendi zao za kupandia magari.
Seneta wa Nairobi Johnstone Sakaja na wenyeji wa SACCO 21 walikuwa wamewasilisha malalamishi yao mahakamani wakitaka sheria hiyo mpya kufutiliwa mbali kwa madai kwamba inawatesa wasafiri.
Jaji Pauline Nyamweya aliwashauri walalamikaji kushirikisha mashirika husika ikiwemo mamlaka ya usafiri nchini, NTSA, polisi na serikali ya kaunti kabla ya kusikilizwa kwa kesi hiyo Alhamisi Disemba 6.
Na Timoth Bahati.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

SAKATA LA USAFIRI NAIROBI: WAKAZI WALAZIMIKA KUTEMBEA KWENDA KAZINI
Reviewed by By News Reporter
on
12/04/2018 07:49:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: