Loading...
Madaktari nchini Zimbawe wamefanya mgomo kufuatia malipo madogo ya mishahara na mazingira magumu ya kazi. Mgomo ulizuka baada ya kupanda kwa bei za mafuta.
Wafanyakazi katika hospitali zote maudhurio yao yalianza kudorora kipindi cha mwisho wa wiki na mpango kamili ukatekelezwa Jumatatu tarehe 3 Disemba, 2018.
"Kupitia mitandao ya kijamii, kuna huruma ya umma kwa madaktari juu ya shida zao," alisema mwandishi wa habari wa RFI Ryan Truscott. "Kwamba wanapaswa kupatiwa vifaa na dawa kwa ajili ya kutibu wagonjwa kwa ufanisi.
"Madaktari ni kama Wazimbabwe wengine, wanatumia mafuta katika magari yao ili kuwasili vituo vyao vya kazi na kutokufanya hivyo kunadhuru maudhurio kazini."
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Doctors at state-run hospitals in Zimbabwe have gone on strike over low pay and poor working conditions. The strike comes at a time of rising prices and fuel shortages.
Staff at several hospitals throughout the country began a go-slow over the weekend and the action escalated on Monday.
"On social media, there's been some public sympathy towards the doctors and their plight," said RFI correspondent Ryan Truscott. "They're having to do their work without decent equipment or drugs to treat their patients.
"Doctors, like other Zimbabweans, are having to queue for fuel for hours on end to get to work and that's affecting their ability to report for duty."
Na Hassan Mussa.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

ZIMBABWE: MADAKTARI WAGOMEA MISHAHARI NA MAZINGIRA MAGUMU
Reviewed by By News Reporter
on
12/04/2018 10:45:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: