Msanii Lulu Diva avunja ukimya baada ya kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'AMEZOEA' baada ya collabo ya kimataifa aliyoshirikishwa na msanii Exq kutoka Zimbabwe mwaka jana, 2017.
Loading...
quot; , sans-serif;">Lulu Diva ni msanii ambaye anatishia amani katika hili anga la muziki wa Bongo Fleva hasa kwa upande wa wakina dada kwa jinsi anavyonyanyasa jukwaa pindi anapokuwa akitumbuiza katika majukwaa ya muziki.
Nyimbo ya mazoea ni muziki wenye maadhi ya Pwani na hata hii video yake imefanyika katika mazingira ya Pwani hiyo.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
BAADA YA COLLABO YA KIMATAIFA; MSANII LULU DIVA AMEKUJA NA HII
Reviewed by By News Reporter
on
1/31/2018 06:37:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: