Loading...
f; font-size: large;">1. Je wajua Ukitafuta google neno 'Zerg Rush' mtandao huo utafuta matokeo yote ya utafutaji.
2. Je wajua Wakati wa ujauzito ubongo wa mwanamke hupungua na inachukua hadi miezi sita ili kurejesha ukubwa wake.
3. Je wajua Upweke hupungu kinga ya mwili, kuwa pamoja na familia na marafiki huongeza kinga ya mwili kwa 60%.
JE WAJUA; UKWELI HUU WA KUVUTIA?
Reviewed by By News Reporter
on
1/31/2018 06:23:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: