Tabia hii ni
hatari na ni kikwazo katika harakati zako za kutimiza malengo yako.
Loading...
07%;">Sio kila
jambo linakufaa kuliwekea mkazo, hisia na muda wako. Jifunze kujenga tabia ya
kusema hapana kwa mambo mengine ambayo yako nje ya vipaumbele vya ndoto na
malengo yako.
Tabia ya
kusema hapana kwa baadhi ya mambo itakusaidia kutengeneza muda mwingi na fursa
ya kujikita katika mambo ya msingi yatakayokusaidia kufikia malengo yako.
Epuka
kupoteza muda wako kwa kutoa nafasi kwa mambo ambayo sio kipaumbele.
You Deserve
The Best!
Vicent
Stephen
WAKATI MWINGINE JIFUNZE KUSEMA HAPANA - Na Siri ya Utajiri
Reviewed by By News Reporter
on
1/31/2018 06:05:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: