Loading...
Safari ya kuitafuta furaha yako binafsi haiwezi kuwa rahisi. Kiu na lengo lakuyafikia malengo yako kamwe sio rahisi, Utapingwa, Utakatishwa tamaa, Utadanganywa, Utakwazwa na pengine hata kutapeliwa.
Maranyingine watu watakao kukwamisha ni wale walio karibu sana na wewe. Watu uliodhani watakusaidia kufikia lengo lakini unakuta ndio viongozi wa kuhakikisha hupigi hatua.
Ukiamua kukata tamaa basi utawafurahisha na kamwe hufiki popote. Piga moyo konde, amua kupambana na kila kikwazo na usisahau kuwa vikwazo vingine viko ndani yako wewe mwenyewe, vikwazo hivyo ni hatari kuliko vile vilivyo nje yako. Ila ukiamua utashinda.

Na Frank Julius.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SAFARI YA MAFANIKIO HAIJAWAHI KUWA RAHISI KWA YOYOTE
Reviewed by By News Reporter
on
7/07/2019 06:54:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: