Lakini
tambua kwamba kesho yako ni zaidi ya leo. Juhudi zako za leo zina matunda
makubwa ndani yake ambayo waweza usiyaone kwa leo.
Hatua kidogo
unazozichukua leo unapanda mbegu ambazo matunda yake utayaona kesho. Endel
Loading...
a
kuchochoe jitihada, bidii na kujituma kwa moyo wote katika kila jambo ambalo ni
sehemu ya malengo yako.
Usiache
kufanya chochote kile unachoweza kwa leo. Mti wa mkorosho hupandwa na
kutunzwa kwa zaidi ya miaka mitatu na baada ya hapo mkulima hufurahia matunda
ya jitihada zake.
Usichoke
kutunza mkorosho wako kwa maana ya ndoto yako, weka mbolea, palilia, tunza kwa
bidii baada ya hapo utapata mavuno.
You Deserve
The Best!
Vicent
Stephen
UNAWEZA UKAIANGALIA LEO UKAKATA TAMAA - Na SIri ya Utajiri
Reviewed by By News Reporter
on
1/30/2018 06:43:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: