Loading...

AMUUA MWANAE KISHA AMLA NYAMA [Tunaomba radhi kwa picha za kutisha]

Loading...
Bw. Ambwene akiwa amefungwa pingu na polisi, na mwili wa mtoto wake ukionekana katika sufuria baada ya kupikwa.
Jamaa mmoja ajulikanaye kwa jina la Ambwene John Mkazi wa Tunduma anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja. Siku ya tukio ambwene alikwenda kumchukua mtoto huyo kwa mama yake ambaye alikuwa haishi naye akidai kuwa anataka kwenda kumnunulia zawadi.
Baada ya masaa kupita bila mtoto kurudi, mama wa mtoto aliamua kwenda nyumban kwa ambwene ndipo alipokuta ambwene akimalizia kumpika mtoto ila amle nyama. Baada ya kuona hivyo Mama wa mtoto alikimbia na kutoa taarifa katika serikali ya mtaa na Bw. Ambwene akatiwa mbaroni.
KWA HISANI YA MTANDAO
AMUUA MWANAE KISHA AMLA NYAMA [Tunaomba radhi kwa picha za kutisha] AMUUA MWANAE KISHA AMLA NYAMA [Tunaomba radhi kwa picha za kutisha] Reviewed by By News Reporter on 2/06/2018 03:52:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.