Loading...

BREAKING NEWS: KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI NCHINI ZIMBABWE MORGAN TSVANGIRAI AFARIKI DUNIA

Loading...
Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani Mr. Morgan Tsvangirai amefariki huko Afrika Kusini, Kiongozi kambi rasmi ya upinzani ametangaza.

Mr Morgan Tsvangirai (65), aliyekuwa waziri mkuu, imeripotiwa alikuwa anagua kansa ya puru.

"Amefariki jioni hii, Familia yake imefanya mawasiliano na mimi," MDC makamu wa rais Elias Mudzuri aliiambia mtandao wa Reuters.

Mr Morgan Tsvangirai aliifahamika katika siasa kwa kupingana na rais Mugabe kwa kipindi kirefu.

Alishapigwa na kufungwa mara kadhaa.

Mr Morgan Tsvangirai kuugua kwake kumeperekea mgawanyiko mkubwa wa MDC(Harakati za mabadiliko ya kidemokrasia), kwa baadhi ya vyama vikiropotiwa kuishia ukingoni kuendeleza au kumuunga mkono mwanaharakati huyo.
BREAKING NEWS: KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI NCHINI ZIMBABWE MORGAN TSVANGIRAI AFARIKI DUNIA BREAKING NEWS: KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI NCHINI ZIMBABWE MORGAN TSVANGIRAI AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 2/14/2018 10:58:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.