Loading...

DONALD TRUMP AMTAJA RASMI MENEJA KAMPENI WAKE UCHAGUZI 2020

Loading...
Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020.

Brad Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump 2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo linalotajwa kumpa ushindi Trump.

Parscale atatumika katika kampeni za uchaguzi mdogo baadae mwaka huu.

Trump anasema Parscale ni mtu sahihi na amekuwa akifanya kila kitu kwa uhakika wa hali ya juu.
DONALD TRUMP AMTAJA RASMI MENEJA KAMPENI WAKE UCHAGUZI 2020 DONALD TRUMP AMTAJA RASMI MENEJA KAMPENI WAKE UCHAGUZI 2020 Reviewed by By News Reporter on 2/28/2018 08:46:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.