Loading...
Kuwa mnene ni jambo ambalo inaaminika kuwa ni kupoteza mvuto hasa kwa mwanamke, lakini wengine wanaamini ni mitazamo ya watu tu. Kwa sababu kuna baadhi ya watu hawapendezwi machoni pao na watu wembamba na wengine hawapendezwi na watu wanene.
Na hii imedhihirika kwa hawa wanamitindo maarufu kama 'Plus Size' ambao ni wanene lakini wameonekana wakifanya shughuli za mitindo kama wanamitindo wengine wanaoaminika na baadhi ya watu ndio hupendeza na kuvutia kwa kuwa ni wembamba.
Vyovyote vile utakavyokuwa ni sawa tu na hakuna mtu aliyekuwa na maumbile yaliyokamilika bali mitazamo ya watu ndio hukamilisha maumbile ya na hukosoa pia. Tunakuletea orodha ya wanamitindo vibonge na warembo bora zaidi mwaka 2018.
10. Jakaliene Rivera
9. Danielle Zavala
8. Johanna Dray
7. Ashley Graham
6. Jennie Runk
5. Griselangel Paula
4. Natalie Monet
3. Rosie Mercado
2. Lornalitz Baez
1. Fluvia Lacerda
Tuma neno 'FASHION' kwenda +255765112259 kupata habari za mitindo punde zinapojiri.
HII NDIO 10 BORA YA WANAMITINDO VIBONGE NA WAREMBO DUNIANI
Reviewed by By News Reporter
on
2/28/2018 01:03:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: