Loading...

HUYU NDIYE MRITHI WA KOCHA WA CHELSEA ANTONIO CONTE

Loading...
Aliyekuwa mkufunzi wa Barcelona Luis Enrique ni miongoni mwa makocha walioorodheshwa na mmiliki wa timu hiyo Roman Abrahamovic kuchukua mahala pake mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte iwapo atafutwa kazi.

Enrique ambaye ni raia wa Uhispania inadaiwa atamsajili mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez iwapo atasajiliwa kuifunza The Blues. (kwa mujibu wa mtandao wa Le10Sport - nchini Ufaransa)
HUYU NDIYE MRITHI WA KOCHA WA CHELSEA ANTONIO CONTE HUYU NDIYE MRITHI WA KOCHA WA CHELSEA ANTONIO CONTE Reviewed by By News Reporter on 2/08/2018 09:41:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.