Loading...

KAMPUNI YA NDEGE NIGERIA YAMLAUMU ABIRIA WAKE BAADA YA MLANGO KUDONDOKA

Loading...
Abiria wanasema waliusikia mlango ukicheza wajati walikuwa angani katika safari ya kutoka Lagos hadi Abuja.
Kampuni ya usafiri wa ndege imemlaumu abiria mmoja baada ya moja ya milango yao kudondoka punde tu
walipotua.
Ndege hio iliosafiri kutoka Lagos hadi Abuja ilikuwa ikiambaa chini kwenye barabara ya kurukia ndege wakati
mlango huo ukandondoka.
haungeweza kudondoka " bila jitihada za maksudi za abiria aliyeufungua"
Kampuni hio ya Dana Air imekana kwamba chanzo cha tukio hilo kilikuwa cha kiufundi na kusema mlango huo
Dapo Sanwo ktuoka Lagos alisema: "Safari nzima ilikuwa ya kelele na mitetemo kutoka sakafu. Niliona kitasa
Lakini abiria mmoja ameiambia BBC kuwa kila mmoja kwenye ndege alikataa kuuchokonoa mlango huo.
cha mlango wa dharura kilikuwa kimelegea na kuning'inia."
"Wahudumu wa ndege walijaribu kumsingizia abiria kuwa alivuta kitasa lakini kila mmoja alikataa. Walijaribu
"Tulipotua na ndege ikaanza kuambaa chini , tulisikia mlipuko mdogo, na wimbi mkubwa wa upepo na kelele.
Ilikuwa mbaya sana,
pia kutuzuia kuchukua video na picha"

Katika taarifa iliotolewa na Dana Air, kampuni hio imekanusha kuwa na hitilafu yoyote katika safari nzima

"Mlango wetu wa dharura zimefungwa kikamilifu na hauwezi kudondoka bila mtu kuuchokonoa au kujaribu kwa
" Wakati ndege ipo angani, inakuwa katika mgandamizo wa juu na hamna njia ya kiti au mlango kutikisika kama
maksudi kufunguliwa na mfanyakazi wa ndege au abiria," kampuni hio imesema.
inavyosemwa"
Mwaka 2012, ndege ya Dana Air ilianguka kwenye eneo la makazi jijini Lagos na kuwauwa abiria 153.
Kampuni iliendela kusema kuwa ndege ilikaguliwa na wahandisi pamoja na Mamlaka ya Usafirishaji wa Anga
Nigeria na "hamna hitilafu iliyoripotiwa"
wiki sita kwa ajili ya marekebisho ya barabara ya kurukia ndege.
Nigeria inahistoria ya rekodi mbaya ya usalama wa anga. Mwaka jana , uwanja wa ndege wa Abuja ulifungwa kwa
KAMPUNI YA NDEGE NIGERIA YAMLAUMU ABIRIA WAKE BAADA YA MLANGO KUDONDOKA KAMPUNI YA NDEGE NIGERIA YAMLAUMU ABIRIA WAKE BAADA YA MLANGO KUDONDOKA Reviewed by By News Reporter on 2/09/2018 06:20:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.