Loading...
Picha za nusu-uchi za wajawazito zimeshika umaarufu kwa miaka kadhaa sasa na wapenzi wanashirikiana kupiga picha hizo kwa pamoja. Mwanamke huyu mjamzito na baba mtoto anayetarajiwa kuzaliwa waliamua kujichora na kuvaa mapambo ili kujipendezesha kwenye picha zao hizo za utupu walizoenda kupiga.
Lakini je walipendeza kama tunavyoziona picha nyingine za mastaa na wanamitindo kadhaa wa picha za utupu? au tunapaswa kujiangalia na maumbile yetu kabla ya kupiga picha hizo? Tazama picha zaidi...
Tuma neno 'GOSSIP' kwenda +255765112259 kupata habari za gossip punde zinapojiri.
KIKI AU SIO KIKI? ANGALIA PICHA HIZI ZA MJAMZITO ZA NUSU-UCHI ZILIZOZAGAA MTANDAONI
Reviewed by By News Reporter
on
2/26/2018 02:14:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: