Loading...

KUFANIKIWA NI KUWA NA NDOTO AU LENGO - Na Siri ya Utajiri

Loading...
Zig Ziglar katika kitabu chake cha Steps to the Top aliandika hivi "Mtu maskini kati ya watu wote ni yule ambaye hana ndoto ya maisha yake. 
Katika jamii kila mtu anataka kufanikiwa lakini watu wengi wanaishi bila kujua nini wanapaswa kufanya au wapi pa kuanzia ili kufanikiwa. 
Moja ya mahitaji muhimu katika kufanikiwa ni kuwa na LENGO au NDOTO. Lengo au ndoto ndio sehemu ya kwanza kabisa kuanza nayo ili kufanikiwa.

Ndoto yako ni ipi? Kama hujaainisha lengo la kufanyia kazi basi hakikisha unafanya hivyo.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen

Tuma neno 'MAKALA' kwenda +255765112259 kupata makala za siri ya utajiri kila siku.
KUFANIKIWA NI KUWA NA NDOTO AU LENGO - Na Siri ya Utajiri KUFANIKIWA NI KUWA NA NDOTO AU LENGO - Na Siri ya Utajiri Reviewed by By News Reporter on 2/23/2018 06:08:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.