Loading...

MKE WA ZAMANI WA RAPPA 'LIL WAYNE' AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Loading...
Rappa Lil Wayne katika picha ya pamoja na Toya Wright.
Toya Wright mke wa zamani wa rappa Lil Wayne amejifungua mtoto wa kike, amerusha picha ya mguu wa mtoto kupitia mtandao wa Instagram kama ushahidi na kundandika "Reign Ryan Rushing? 2/8/18 7 pound 7 ounces I'm in love.???? #myreignbeaux".

MKE WA ZAMANI WA RAPPA 'LIL WAYNE' AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE MKE WA ZAMANI WA RAPPA 'LIL WAYNE' AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE Reviewed by By News Reporter on 2/10/2018 06:20:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.