Loading...

MSANII DIAMOND KUMLIPA HAMISA MOBETO ZAIDI YA MILIONI 5.5 KWA MWEZI

Loading...
Mwanamitindo na msanii filamu za kibongo Hamisa Mobeto, ameibuka kimaso maso baada ya mahakama kuamua kesi ambayo ilionekana akitetewa zaidi kwa kumuamuru Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz kumlipa kaisi cha zaidi ya Tshs. 5,500,000/= kwa mwezi.

Mwimbaji huyo alifika mahakamani kwa mavazi ya mtindo wa Kinigeria, maarufu kama Aso Ebi na alivalia viatu vya wazi vyeupe, ambavyo baada vilikatika katika chumba cha mahakama na kuamua kutembea pekupeku mahakamani hapo.

Hamis aliingia na gari aina ya Brevis ya blue na sio DMC RAV4 yake nyeupe.

Hamisa mwaka jana alifungua kesi lakini ilitupiliwa mbali kesi hiyo baada ya kufunguliwa kwa sheria isiyo sahihi ya mtoto. Wakati ule kesi ilivyotupiliwa mbali, Diamond na Zari walisafari UK mapumziki mafupi lakini sasa, Post mpya za Instagram za Zari zinaonyesha hapati usingizi kwa matukio yanayoendelea.
MSANII DIAMOND KUMLIPA HAMISA MOBETO ZAIDI YA MILIONI 5.5 KWA MWEZI MSANII DIAMOND KUMLIPA HAMISA MOBETO ZAIDI YA MILIONI 5.5 KWA MWEZI Reviewed by By News Reporter on 2/12/2018 12:47:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.