Loading...

MATUKIO KWA PICHA: ILIVYOFANA KATIKA BIRTDAY PARTY YA PRODUCER MR TTOCUHEZ

Loading...
Msanii Amber Lulu akilishwa keki na birday Boy, Mr TTouchez.
Msanii Dayna na Amber lulu wakiongea jambo.
Producer TTouchez akiongea jambo kabla ya kumlisha msanii Bill Nas.
Msanii Dayna Nyange mkali wa 'Komela' akilishwa na Mr. TTouchez
Msanii Dayna akitumbuiza nyimbo ya 'Komela' pamoja na Amber lulu.


Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya party hiyo
Msanii mkongwe Mchizi Moksi akilishwa keki na producer Mr TTouchez

Msanii Mr. Blue akilishwa keki na producer Mr TTouchez.

Meneja wa Young Dee, Studio ya TTouchez na KingCash, King Maarifa akilishwa keki na producer Mr TTouchez
Producer Mr TTouchez akipakazwa keki kama ishara ya furaha kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa

Producer Mr TTouchez akimlisha keki keki mdogo wake producer Sam.
Producer Mr TTouchez akimwagiwa Champaign kama ishara ya furaha kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa .

Producer Mr TTouchez akimlisha keki baby mama wake.
Msanii Baraka The Prince akiongea jambo kabla ya kulishwa keki.
Producer Mr TTouchez akizungumza jambo kabla ya kumlisha keki Producer Tony wa Touchez Studio.

Producer Mr TTouchez akimlisha keki Msanii Shamfa.




MATUKIO KWA PICHA: ILIVYOFANA KATIKA BIRTDAY PARTY YA PRODUCER MR TTOCUHEZ MATUKIO KWA PICHA: ILIVYOFANA KATIKA BIRTDAY PARTY YA PRODUCER MR TTOCUHEZ Reviewed by By News Reporter on 2/12/2018 11:46:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.