Loading...

MWANAMUZIKI MGHANA EBONY REIGN AFARIKI KWA AJALI YA GARI

Loading...
Msanii Maarufu aina ya muziki wa Dancehall, Ebony Reigns wa nchini Ghana, amefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea bara bara ya Sunyani-Kumasi Alhamisi jioni.

Taarifa kutoka polisi zinasema, mwimbaji huyo mwenye miaka 20, wakiwa na maafisa wawili wa jeshi wakiendesha gari aina ya Jeep yenye nambari za usajili AS 497-16 wakitokea Sunyani wakielekea Kumasi waligongana na basi la VIP bus ambalo lilikuwa likielekea Sunyani likitokea Kumasi.

Msanii huyo alifariki hapo hapo baada ya ajali na maafisa hao wa jeshi walifia hospitalini watu wakijaribu kuokoa maisha yao, ila dereva wa basi amenusurika kufa mpaka sasa ila hajitambua huko hospitalini.
MWANAMUZIKI MGHANA EBONY REIGN AFARIKI KWA AJALI YA GARI MWANAMUZIKI MGHANA EBONY REIGN AFARIKI KWA AJALI YA GARI Reviewed by By News Reporter on 2/10/2018 09:48:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.