Loading...

TAFITI MPYA INAONYESHA KILA MWAKA WATU 100 WANAKUFA KWA KUJICHUA - UJERUMANI

Loading...
Tafiti mpya inaonyesha wanaume wengi duniani wanafariki kwa kushiriki vitendo vya kujichua.

Ujerumani pekee, tafiti inaonyesha wanafariki wanaume wapatao 100 kila mwaka wakati wanajichua. Ukosefu wa hewa safi aina ya Oxijeni ndio chanzo kikubwa cha vifo vya watu hao ambao wanajaribu kutafuta 'raha ya kipekee', kwa mujibu wa mtafiti, Dk. Harald Voss.

Vifo kadhaa vimesharipotiwa nchini humo na wengi wakiwa wanaume kuliko wanawake na mchunguzi Voss amesema kuna uwezekano wa idadi kutoripotiwa kwa kuwa familia ziliathiriwa zinaona aibu kuitaarifu mamlaka.
TAFITI MPYA INAONYESHA KILA MWAKA WATU 100 WANAKUFA KWA KUJICHUA - UJERUMANI TAFITI MPYA INAONYESHA KILA MWAKA WATU 100 WANAKUFA KWA KUJICHUA - UJERUMANI Reviewed by By News Reporter on 2/10/2018 09:28:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.