Loading...
Watu wanatengeneza malengo lakini bado hawayafanyii kazi. Unakuta mtu anajua kabisa nini anapaswa kufanya lakini bado hafanyi kile anachokijua. Tatizo nini?? Je! hawana uwezo?.
Tatizo hili linachangiwa na kukosekana kwa HAMASA kutoka ndani. Watu wa namna hii wamepungukiwa na HAMASA ya kuchukua hatua. HAMASA binafsi kutoka ndani ndio humsukuma mtu kuchukua hatua na kumfanya mtu aendelee kusonga mbele hata katika mazingira yenye changamoto nyingi.
HAMASA ya ndani inakukinga dhidi ya tabia ya kughairisha na kuondoa uzembe dhidi ya jambo fulani. Pia itakulinda dhidi ya mambo ambayo sio kipaumbele cha malengo yako.
Bila kuwepo na HAMASA binafsi kutoka ndani huwezi kufanya chochote hata kama unajua nini unapaswa kufanya.
Ni muhimu kuchochea HAMASA binafsi ndani yako. Itakusaidia kufanikisha malengo. Unaweza kufanya hili kwa kutengeneza mazingira ya kuamusha HAMASA ndani yako. JIHAMASISHE usisubiri mtu.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen

NGUVU YA HAMASA BINAFSI DHIDI YA MALENGO YAKO - Na Siri ya Utajiri
Reviewed by By News Reporter
on
2/02/2018 08:27:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: