Loading...
Inatarajiwa nchini Senega ijumaa ya leo, mwimbaji Rihanna kuwa angehudhuru nchini humo, lakini hali imekuwa tofauti baada ya mashirika ya kidini kwa vikundi zaidi ya 30 yanayopinga "Ufreemasoni na Ushoga" kupinga ujio wake.
Kwakuwa baadhi ya wanachama wa makundi hayo wanamshutumu rihanna kuwa ni mmoja wa wanachama wa jumuia ya Illuminati, kwa mujibu wa Jeune Afrique.
Waliripoti madai yao kwa mamlaka husika ili wasitishe ujio wa nyota huyo.
Rihanna anatakiwa kuhudhuria mkutano wa kuchangisha fedha wa Ushirikiano wa kimataifa katika sekta ya elimu - ambao utaongozwa na Rais Macky Sall na Mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron - huko Dakar.
MAKUNDI YA KIDINI YAPINGA UJIO WA RIHANNA NCHINI SENEGALI KWA KASHFA YA UFREEMASONI
Reviewed by By News Reporter
on
2/02/2018 09:05:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: