Loading...

MWANAUME MMOJA AFARIKI AKIFANYA MAPENZI SHAMBANI

Loading...
Kenya.Mwanaume wa miaka 35 amefariki dunia katika shamba la mahindi huko katika Jimbo la Kapseret lililopo Kaunti ya Uasin Gishu

Julius Bor akiwa na mpenzi wake Janet Misik Cheruto umri wa miaka 40, wameripotiwa kuwa walikuwa wakinywa pombe katika sehemu inayoitwa, Chepyakwai

Baada ya kuondoka eneo hilo wawili hao waliondoka na kukubaliana kwenda kufanya mapenzi katika shamba la mahindi lililopo jiranina eneo hilo

Inaelezwa kuwa Mwanaume huyo alianguka na kufariki wakati wa tendo hilo ndani ya shamba hilo.
Na Peter Daudi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWANAUME MMOJA AFARIKI AKIFANYA MAPENZI SHAMBANI MWANAUME MMOJA AFARIKI AKIFANYA MAPENZI SHAMBANI Reviewed by Distri Music on 8/13/2019 02:36:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.