Loading...
Watu wa kabila la Himba wanaopatikana nchini Namibia wana utamaduni wa kutoa wake zao kulala na mgeni wa kiume anapowasili kuonyesha ukarimu na kupunguza wivu.
Mke ana haki ya kukataa kukutana kimwili na mgeni lakini lazima walale chumba kimoja.
Wanawake pia huwapa rafiki zao waume zao wanapowatembelea, lakini huwa haitokei sana.
Na kabila la Himba mwanamke aruhusiwi kuoga kwa kwa maji bali kwa kutumia moshi wa kuni, na hii kutokana na ukame uliotokea miaka ya nyuma na ndipo wazee wa kipindi hicho wakasema wanaume pekee wataruhusiwa kuoga maji kwa matumizi mahalumu.
Picha zaidi...
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za utalii punde zinapojiri.
PHOTO OF THE DAY: TAMADUNI ZA KUSHANGAZA ZA KABILA LA HIMBA
Reviewed by By News Reporter
on
2/27/2018 02:33:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: