Loading...

PICHA ALIYOPOST RIHANNA AKISHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 30

Loading...
Mwimbaji mahiri, Rihanna, ambaye aliitambulisha albamu yake ya kwanza mwaka 2005, ametimiza miaka 30 siku ya jana na aliamua kupost picha yake ya utoto kwa niaba ya mama yake mzazi. Aliandika.

"10958 days ago @monica_fenty became a mother for the first time to her only daughter! Today is just as much your birthday as it is mine! I love you mom! Thank you for carrying me, birthing me, raising me, supporting me, teaching me, and loving me unconditionally! The woman I am today is because of everything that you are! 
I thank God for perfectly hand picking you to be my mother when He sent my spirit to you! You are the greatest! Thank you! #
Akiwa na maana; Siku 10958 zilizopita mwanamke Monica Fenty alifanikiwa kuitwa mama kwa mara ya kwanza kwa kumpata mtoto wake wa kwanza wa kike! Siku ya leo ni siku ya kunizaa kama ulivyo yangu ya kuzaliwa! Nakupenda mama! Asante kwa kunilea, kunizaa, kunikuza, kuniunga mkono, kunifundisha na kunipenda bila sababu! Mwanamke huyu niliye leo ni kwa sababu yako!

Namshukuru Mungu kwa kufanya chaguo sahihi wewe kuwa mama yangu Alituma roho yangu kwako wewe ni wakipekee!

Wote tunasema: "Heri ya furaha ya kuzaliwa mwimbaji Rihanna."

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
PICHA ALIYOPOST RIHANNA AKISHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 30 PICHA ALIYOPOST RIHANNA AKISHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 30 Reviewed by By News Reporter on 2/21/2018 03:13:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.