Loading...

TRUMP APATA PIGO, WAHAMIAJI RUKSA KUISHI U.S.A

Loading...
Mahakama ya juu yaupa utawala wa Trump pigo kuhusu mpango wa 'Dreamers'

Mahakama ya juu ya Marekani imeupa utawala wa rais Donald Trump pigo baada ya kuutaka kuendeleza kinga kwa maelfu ya wahamiaji waliofika Marekani kwa njia isiyo ya kisheria wakiwa watoto.

Utawala wa Trump ulitaka kuondoa kinga hiyo. Majaji walikataa kusikiliza rufaa iliyowasilishwa na Trump kupinga uamuzi uliotolewa na jaji wa mahakama ya jimbo Januari 9 uliositisha mpango wa Trump kumaliza mpango huo ulioanzishwa mwaka 2012 na mtangulizi wa Trump, rais mstaafu Barack Obama.
Chini ya Trump hatua ya kuondoa kinga hiyo ilipaswa kuanza mwezi machi.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
TRUMP APATA PIGO, WAHAMIAJI RUKSA KUISHI U.S.A TRUMP APATA PIGO, WAHAMIAJI RUKSA KUISHI U.S.A Reviewed by By News Reporter on 2/27/2018 10:30:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.