Loading...

AVUA NGUO NA KUJICHUA NDANI YA NDEGE BAADA YA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO

Loading...
Abiria mmoja wa kiume ambaye ilifahamika baadae kuwa ni mwanafunzi wa chuo (20), akiwa ndani ya ndege moja inayomilikiwa na kampuni ya Malindo alionekana akiwa uchi huku akitazama video za ngono, na baadaye akaanza kujichua kitendo kilicho washangaza abiria wenzake.

Alianza kufanya vitendo hivyo vya kudhalilisha baada ya ndege hiyo kuruka kutoka katika uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur, Malaysia. Bila ya heshima kwa abiria wenzake alianza kuvua nguo, na walipojaribu kumwambia asifanye hivyo alionyesha kukasirika.

Wakati akielekea upande wa vyoo vya ndege alionekana akijaribu kumkumbatia muhudumu mmoja wa ndege hiyo na alipomzuia alionekana kuleta fujo. Abiria na wahudumu wengine wa ndege ndipo walipoamua kumzuia kwa kumfunga mikono yake kwa kamba kwenye kiti alichokalia mpaka mwisho wa safari yake.
Na baadae alikamatwa na polisi wakati ndege hiyo ilipotua katika viwanja vya ndege vya Shahjalal Airport mjini Dhaka, Bangladesh.

Mmoja wa abiria aliyedai alikuwa ndani ya ndege hiyo alisema kwamba mtu huyu alianza kuvua nguo alipoanza kutazama video za ngono "Alipinga vyote alivyoambiwa na abiria waliokuwa karibu yake".

"Ndipo kikosi cha watunza wa mizigo walipo mfuata kwa utaratibu na kumwambia avae nguo zake. Alitii maombi yao. Baadae kidogo kulisikika malalamika kutokea upande wa chooni yakisema alijaribu kumkumbatia muhudumu eneo wa eneo hilo," walioshuhudia walisema hivyo.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za matukio punde zinapojiri.
AVUA NGUO NA KUJICHUA NDANI YA NDEGE BAADA YA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO AVUA NGUO NA KUJICHUA NDANI YA NDEGE BAADA YA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO Reviewed by By News Reporter on 3/08/2018 12:08:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.