Loading...

BLAC CHYNA KATIKA PICHA MPYA ZA MATANGAZO BAADA KUVUJA KWAKANDA YAKE YA NGONO

Loading...
Blac Chyna akionyesha shepu yake ya kushangaza akiwa katika vazi la chupi aina ya 'bikini' alipokuwa akipiga picha za matangazo ya kibiashara katika ufukwe wa Malibu siku ya Jumamosi.

Mama huyo wa miaka 29, alionekana katika mapozi tofauti tofauti, mengine akionekana anakunywa maji kwenye chupa ya plastiki iliyoandikwa '138 water'.

Blac Chyna ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na rappa YBN Almighty Jay (18), pia amepewa shutuma na mchumba wa rappa Swae Lee kwa jina Marliesia Ortiz kwamba anatembea na mpenzi wake huyo.

Kwa picha zaidi angalia chini...

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
BLAC CHYNA KATIKA PICHA MPYA ZA MATANGAZO BAADA KUVUJA KWAKANDA YAKE YA NGONO BLAC CHYNA KATIKA PICHA MPYA ZA MATANGAZO BAADA KUVUJA KWAKANDA YAKE YA NGONO Reviewed by By News Reporter on 3/07/2018 12:50:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.