Loading...

MWIMBAJI USHER AMETENGANA RASMI NA MKE WAKE GRACE

Loading...
Mwimbaji mkongwe Usher na mke wake, Grace Miguel wametangaza rasmi kutengana baada ya kudumu katika ndoa yao kwa kipindi cha miaka miwili.

Kwa mujibu wa mtandao wa USWeekly, walisema kauli ya pamoja: "Baada ya kuwaza sana na kufikiria tumeamua kufanya maridhiano ya pamoja kwa kuamua kutengana kama wapenzi."

Wameongezea kwamba wataendelea kuwa marafiki wa karibu.

"Tutaendelea kubaki kama marafiki, tunaopendana ambao tutaendelea kusaidia kwa hali na mali katika hatua ya maisha haya mapya. Na upendo na heshima kati yetu wawili utazidi pindi tutapokuwa mbali mbali," kauli ilisema hivyo.

Mwaka uliopita ulikuwa mgumu kwa nyota Usher na Grace ikiwa wanawake kadhaa walikuja kudai wanatoka kimapenzi na mwimbaji huyo na wanauja uzito naye.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
MWIMBAJI USHER AMETENGANA RASMI NA MKE WAKE GRACE MWIMBAJI USHER AMETENGANA RASMI NA MKE WAKE GRACE Reviewed by By News Reporter on 3/07/2018 01:09:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.