Loading...

RIHANNA AMEUZA NYUMBA YAKE YA HOLLYWOOD KWA ZAIDI YA BILIONI 5.7

Loading...
Rihanna ameweza kuvuta pumzi baada ya kuuza nyumba yake iliyokuwa huko West Hollywood ambayo alisumbuka nayo kuiuza kwa kipindi cha miezi 5 sasa.

Rihanna alinunua nyumba hiyo yenye ukubwa wa futi za mraba 2,800 mwaka jana kwa kiasi cha dola za kimarekani $2.75 millioni sawa na pesa za kitanzania shilingi bilioni 5.6. 

Mwimbaji huyo ghafla alibadili maamuzi yake na kuirudisha sokoni nyumba hiyo mapema miezi 3, baada ya kuinunua kwa thamani ya dola za kimarekani $2.85 milioni. Ilipofika Januari, nyumba hiyo ilikuwa katika orodha ya kupangishwa kwa kiasi cha dola za kimarekani $16,500 kwa mwezi.

Na ilionekana kama hakuna aliyejitokeza kuipangisha ijapokuwa kuwa na sifa nyingi katika nyumba hiyo, kama vile kuwa na bwawa la kuogelea (swimming pool) na nyumba ya wageni.

Nyumba hiyo mwisho wa siku ilipata mteja na kuuzwa wiki iliyopita kwa kiasi cha dola $2.85 milioni walizopanga kuuza nyumba hiyo, Rihanna alijipatia faida ya dola $100 milioni.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
RIHANNA AMEUZA NYUMBA YAKE YA HOLLYWOOD KWA ZAIDI YA BILIONI 5.7 RIHANNA AMEUZA NYUMBA YAKE YA HOLLYWOOD KWA ZAIDI YA BILIONI 5.7 Reviewed by By News Reporter on 3/07/2018 01:39:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.