Loading...

DAKTARI ANAYETIBU USHOGA AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MGONJWA WAKE

Loading...
Daktari mmoja mtaalam wa magonjwa ya akili, ambaye alikuwa akijaribu kuwatibu mashoga lakini ameonekana kila mara akijihusisha na kufanya mapenzi na wagonjwa wake wa kiume, amepatikana na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia.

Wakati wa uchunguzi, Ontario kama mdhibiti wa matibabu alimuelezea mzee huyo wa miaka 72 Dkt Melvyn Iscove kwamba alionekana kupendezewa kuwatibu wagonjwa mashoga. Kamati pia iligundua kwamba Iscove alijihusisha na vitendo vya kingono na wagonjwa wake wakati wamatibabu na alifanikisha kufanya ngono mara moja na mgonjwa wa kiume katika ofisi yake.

Tuhuma hizo za  mwaka 2000. Wanachama watano katika kamati hiyo ya nidhamu walisema walalamikaji wawili walisema walifikiri kwamba vitendo vya kingono na sehemu ya matibabu na ilikuwa namna ya kuwaponya ushoga wao kwa kushiriki kwa vitendo, bali ni kufanya waendelee na ushoga.

Iscove alikataa tuhuma zote. Kufuatia uamuzi wa kamati hiyo, Icove alifutiwa leseni zake za udaktari huku akingoja penati zake.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afya punde zinapojiri.
DAKTARI ANAYETIBU USHOGA AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MGONJWA WAKE DAKTARI ANAYETIBU USHOGA AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MGONJWA WAKE Reviewed by By News Reporter on 3/13/2018 01:03:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.