Loading...

HESHIMA ALIYOPEWA DIAMOND PLATINUMZ NCHINI KENYA

Loading...
Msanii nyota wa bongo fleva amepokelewa vizuri alipokuwa ziarani kuitambulisha albamu yake ya 'A boy from Tandale'.

Kwanza kabisa Diamond kafanya kitu kizuri kwa kuonesha ni kwa namna gani nchi hizi mbili zipo vizuri na kushirikiana vema si kama ambavyo watu wengine huleta ushirikiano wa maneno

Sasa hivi Kenya na Tanzania wamekuwa ndugu kwa kuunganishwa na msanii wetu Diamond planumz.

Kwa haraka haraka nimejaribu kupitia taarifa mbali mbali za kwenye media nikaona kenya wanampa support ya kutosha kijana wetu.

Kwa pamoja tunapaswa kumsapot na kumpongeza kwa hatua hiyo na kwa ukalimu wa watu wa kenya wanao ufanya kwa ndugu yetu huyu.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
HESHIMA ALIYOPEWA DIAMOND PLATINUMZ NCHINI KENYA HESHIMA ALIYOPEWA DIAMOND PLATINUMZ NCHINI KENYA Reviewed by By News Reporter on 3/15/2018 08:57:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.