Loading...
Inasemekana msanii Diamond Platinumz amenunua jumba la kifahari huko Nairobi, Kenya.
Mwimbaji huyo amenunua nyumba hiyo hivi karibuni wakati wa ziara yake nchini Kenya, ambapo pia aliingia makubaliano ya kibiashaa na kampuni ya simu ya Safaricom. Mashabiki wa Diamond wa nchini humo wamefurahishwa na habari hizo, wakitaraji huenda msanii huyo atenda kuishi huko hivi karibuni.
Akijulikana kwa umahiri wake wa kuimba na utajiri alionao, Diamond ameamua kuwekeza pesa zake kwa kununua jumba la kifahari alilokuwa akiishi tajiri mmoja huko Nairobi.
Na Catherine Kisese - Nairobi, Kenya
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

DIAMOND PLATINUMZ ANUNUA JUMBA JINGINE LA KIFAHARI MJINI NAIROBI
Reviewed by By News Reporter
on
3/19/2018 08:18:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: