Loading...

FINLAND YAONGOZA NCHI ZA FURAHA, TANZANIA YASHIKA NAFASI YA 153

Loading...
Mwaka huu nchi yenye furaha zaidi ni Finland, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa ya nchi zenye furaha duniani ikiiangusha Norway ambayo ilikuwa kinara.

Moja ya kigezo kinachotumika - Jinsi gani wanavyojisikia na kwa nini? Vitu kama vita na wakimbizi vinaweza kufanya nchi fulani kuwa nafasi mbaya, mfano Burundi imetajwa kuwa ya mwisho kutokana na ghasia zilizozuka baada ya rais Nkurunzinza kung'ang'ania madaraka na kusababisha wananchi wake kuwa wakimbizi katika nchi jirani na hata kukosa furaha.

Tanzania ikiwa katika nafasi ya 153 katika orodha hiyo ya nchi 156, hii inaashiria kwamba wananchi wake hawana furaha.

Hii ndio orodha ya nchi kumi za kwanza na nchi kumi za mwisho.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
FINLAND YAONGOZA NCHI ZA FURAHA, TANZANIA YASHIKA NAFASI YA 153 FINLAND YAONGOZA NCHI ZA FURAHA, TANZANIA YASHIKA NAFASI YA 153 Reviewed by By News Reporter on 3/16/2018 05:48:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.